Mike Tee Mwakat na Mike Tee wakiwa na wengine 6
Msanii
mwenzangu PNC kadhalilishwa sana na OSTADH JUMA kwenye MEDIA zote, me
toka jana natafakari sana kwa mtu mzima kufanya kitendo kama kile,
upande wangu nimeumia na nimeona kama mimi nimefanyiwa kitendo kile.
Sasa basi wasanii wenzangu, washabiki wetu , viongozi wa ngazi mbalimbali tunajua mambo haya yapo lakini yana kipimo, tukikaa kimya wako watakaotuvua nguo hadharani kisa sisi wasanii ambao tunadharaurika hatuna elimu hatuna kipato ila tunatumika na wachache kupata wanachotaka,
Je tufanye nini me nimeshindwa cha kufanya we need your support wenye uchungu wa muziki wetu na wasanii wa TANZANIA kwa ujumla
Sasa basi wasanii wenzangu, washabiki wetu , viongozi wa ngazi mbalimbali tunajua mambo haya yapo lakini yana kipimo, tukikaa kimya wako watakaotuvua nguo hadharani kisa sisi wasanii ambao tunadharaurika hatuna elimu hatuna kipato ila tunatumika na wachache kupata wanachotaka,
Je tufanye nini me nimeshindwa cha kufanya we need your support wenye uchungu wa muziki wetu na wasanii wa TANZANIA kwa ujumla
- Watu 30 wameipenda hii
- Allan Mahela Magnetics Dah, mameneja wengine kama chuma ulete bro, yote haya ni kazi na kutafuta kifuta jasho ila haipendezi POLENI
- Rich Nova binafsi kaka nmekilaan kitendo hcho,,,,lakin c kosa la huyu mshakaji pnc jamaa ni mpole fulan,, mstaarabu nahisi kwa upande wake aliona sahihi kufanya hivyo kumbe kiubnadam kashushwa hadh na utu wake
- Asegelile Laston Mwakilembe Mpelekeni mahakamni! Huo ni ujinga tunajua Ruge naye amedhalilisha wasanii wengi sana ila kukaa kwenu na kushindwa kusapoti harakati za wenzenu wakati wanapambana ndio kumepelekea haya yawekwe hadi hadharani sasa! Ukishindwa kutetea kidogo hata kikubwa utashindwa kutetea
- Leyla Ally tabia mbaya tu na kesho ana dhambi kwa mungu yan amefanya mwenzie amsujudie kama yeye c binaadamu wa kawaida looh!!ishu hyo ingefanyika kimya kimya waTzee tusingejua sasa ndo nn kumtia mwenzie aibu mitandaon ostadh ameona ubingwa mwenyewe eee
- Ben Baden Mike anzisha camp ya kuwalea wasanii afu siku mmoja mmoja atoke uone inavokera na kuuma.afu siku akirudi utamchukuliaje!!!?life la kisanii bongo gumu....madogo wakipata jina wanajiona wao ndio wao wanatoka kundini mbwembwe kiibao,wakisha expirience life huko nje wanaona hataa...nilikotoka ndio kwa ukweli.sasa wakirudi ndo wengine hao mnasema wamedhalilishwa!!!!mwache avune alikipanda..kwani aliitwa pale kutibu?
- Peter Kitua Mnyaru,
ulimwengu wa technologia unatuua,kuna mambo ambayo n personal issue lyk ya pnc,hakukuwa na umhmu wa kudisplay kwa net.
Kama kwel uctaz Juma kafanya hvyo alitazame mara mbili jambo hli....Tazama Zaidi - Masasi Tajiri kiukweli inauma...na jamaa kaonyesha dharau kubwa sana...nimpango alio uandaa ila mungu analipa sifahamu ni vp atamlipia Pnc kwa hili alilo tebdewa
- Justin Luswema hzo ndizo athar za udhamin,7b mdhamin anakutawala kifikra e.t.c ila kikubwa kamsemea vbaya kweny media it means ushahd upo...hapo inabd ajibiwe kwa utaratb wa kisheria na kumchukulia hatua na si KWENYE MEDIA TENA!
- Titus Malya Kwani mike huyu jamaa kammfanya je dogo? Na ndoo alikuwa anajifanya kuwa kawachukua ili awatoe hana lolo mwizi huyo na kama aliona hawezi kuwasaidia angewaacha nadhani atakuwa kawadhulumu huyu jamaaaa
- Godfrey Reuben Nsekela Moja huyu jamaa anatakiwa hakome na kuacha kabisa kutumia jina la OSTADH JUMA kwani anadharilisha dini ya kiislamu,pili siku zote nyie wasanii utafikili mmezaliwa baba na mama mmoja kwa kupiga kelele amjambo lakini kutekeleza zero,BOB MARLEY aliliona jambo ili kitambo akawaeleza mjikomboe nyie wenyewe katika utumwa wa mawazo kwani hakuna hatakae wakomboa.
- Nteba Machemba Tatizo wasani Bongo wengi wanatoka ktk Familia za kimackini akinunua Gari na kujenga Nyumba na akawa na uwezo wa kununu chakula, kununua Bia au fanta na kununua mafuta ya Gari anaona amemaliza maisha. Octazi alikuwa sawa maana alitumia pesa zake kufany...Tazama Zaidi
- Wilson A Lucas Buruzweni tu! mngeunga mkono zile harakati za 'VINEGA' saahizi mngeshafanikiwa na upuuzi kama huu ingekua rahisi tu kuutolea maamuzi; sasa we mnyalu hapo utaingiliaje huo ugomvi? labda ndo mkataba wao unavyoeleza kwamba msanii akimuudhi huyo ostadhi atamdhalilisha kwenye mitandao je? Narudia tena BURUZWENI tu! hamna misimamo wasanii wetu wa kibongo.
- Swedi Kondo serikali bado imeshindwa kutambua thamani na kusimamia haki za wasanii hilo ndio linasababisha wasanii kunyanyaswa na watu kama hawa kama serikali ingeamua kusimamia kazi za wasanii ipasavyo hakika msanii wa ukweli kama pnc si mtu wa wakupiga magoti k...Tazama Zaidi
- Juma Ryanrushy Msogoti Tatzo wasanii mnalewa CFA mnajixahau . ndoma mnazalilishwa. Lkn nimeskia n KIkI PNC antka kutoa new ngoma
- Maiko Mbele haki zenu zinasimamiwa na nan? iv kuna muungano au chama chochote cha wasanii wa kizaz kipya?
























0 maoni:
Chapisha Maoni