Kupitia Account yake ya Instagram msanii
maarufu Diva Wema Sepetu,ame-post ujumbe ambao uliandikwa na msanii wa
filamu za hollywood za marekani ajulikanaye kama Brad Pitt,alipokuwa
anaelezea hisia zake ,wakati mgumu aliopitia kipindi mke wake Angeline
Jolie alipokuwa anasumbuliwa na matatizo mbali mbali,ikiwemo
yakikazi,watoto nk,yaliyopelekea kumsababishia mke wake kupoteza uzito
zaidi na afya yake kutia mashaka,kipindi ambacho alikuwa anahofia kuwa
mahusiano yao yanaweza kufika mwisho,na mengine mengi. Ujumbe ambao
umetokea kushika hisia za Wema na kuamua ku-post kwenye account yake na
kuwa-dedicate ujumbe huo kwa wanaume tu wanaojali wapenzi wao kama mfano
aliouonyesha Brad Pitt kwa mke wake,Ujumbe wenyewe huu hapa ulioandikwa
kwa lugha ya kingereza..
0 maoni:
Chapisha Maoni