Na Shani Ramadhani
STAA wa Mduara Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amemfungukia msanii mwenzake, Baby Joseph Madaha kwamba hajielewi.
Shilole ametoa kauli hiyo siku chache baada ya kuchanwa gazetini na Baby Madaha kwa kuambiwa kuwa yeye ni mcheza vigodoro.
“Sitaki kabisa kumsikia huyo Baby
Madaha, hanisaidii chochote kile katika maisha na kazi zangu pia sioni
sababu ya kupigizana naye kelele, mtu mwenyewe hajielewi,” alisema
Shilole.
Home
»
»Unlabelled
» SHILOLE: BABY MADAHA HAJIELEWI
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)


0 maoni:
Chapisha Maoni