


Video hii
inatarajiwa kumalizika na kuachiwa mwishoni mwa mwezi huu ambayo
inatarajiwa kuwepo kwenye chanel nyingi na kubwa kutokana na Director na
ufanyaji wa Video hii ambapo vifaa vilivyotumika ni modern na vyenye
gharama ya juu sana ikiwemo Camera RED pamoja na professional FILM crew waliotumika kushoot video hii.
Video hii imemgharimu OMMY Dimpoz si chini $20,000
za kimarekani ambazo ni kiasi pekee alichomlipa Director huyo na hiyo
ukitoa gharama zake nyingine zilizotumika kwenye kusafiri pamoja na
kuwepo nchini Uingereza kwa kipindi kizima cha utengenezaji wa video hiyo.
0 maoni:
Chapisha Maoni