Katika kukagua uharibifu wa miundombinu uliosababishwa na mvua kubwa
katika Jiji la Dsm, Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharib Bilal, Dk.John
Magufuli, Mkuu wa Mkoa wa Dar, Meck Sadiki na Afande Kova wamenusurika
ajali ya helikopita iliyotokea leo Jijini Dsm.
Jamani tumuombe mwenyezi Mungu awalinde hawa viongozi wetu wapendwa
waliokuwa katika kuwatumikia watanzania. Natoa baadhi ya picha za
helikopita hiyo ikizimwa moto:
walio nusurika ni
1. Makamu wa Rais, Dr. Bilal
2. Mkuu wa mkoa wa Dar, Sadik
3. Mkuu wa polisi Kanda Maalum, Kova
Wamepata majeraha kidogo walikuwa wakikaguwa athari za mvua jijini
Habari zaidi zitaendelea kuwajia...
Home
»
»Unlabelled
» BREAKING NEWS: Makamu wa Rais (Dk. Bilal), Kamanda Suleiman Kova, Mkuu wa Mkoa wa Dar na Dk. Magufuli wanusurika katika ajali ya helikopta.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)



0 maoni:
Chapisha Maoni