Akizungumza na Ijumaa katika hoteli ya
Johannesburg, Sinza Mori jijini Dar, Johari alisema kuwa kwa sasa
angependa atambuliwe kuwa anafanya kazi na Ray katika hiyo kampuni na si
kuhusishwa naye kimapenzi.
“Naomba ifahamike kwamba mimi niko RJ na siko na Ray kama watu wengi wanavyozungumza,” alisema Johari kwa kifupi kisha kuendelea na hamsini zake.
“Naomba ifahamike kwamba mimi niko RJ na siko na Ray kama watu wengi wanavyozungumza,” alisema Johari kwa kifupi kisha kuendelea na hamsini zake.

0 maoni:
Chapisha Maoni