Ana miaka 8 wezake wamempachika jina la "Fish Boy" kama a.k.a
yake lakini jina halilopewa na wazazi wake ni Pan Xianhang amezaliwa
katika mji wa Wenling nchini chini akiwa na Ugonjwa wa Ngozi
unaojulikana kitaalam kama LCTHYOSIS neno ili limetoholewa katika neno
la kigiriki likimaanisha Samaki.
Ugonjwa
huu ukimpata mtu umuathiri sana maeneo ya kuzunguka Macho,Pua,Masikio
na Mdomo,unasababisha mtu kujikuna sana na kumsababishia mgonjwa maumivu
makali sana na hasa nyakati za usiku.





0 maoni:
Chapisha Maoni