Homa
ya kombe la dunia imeanza kupanda na timu kadhaa zimeanza kutangaza
vikosi vya wachezaji watakaoenda Brazil kushiriki michuano hiyo
inayotarajiwa kuanza June mwaka huu.
Jana
usiku kocha wa timu ya taifa ya Brazil Luis Fellipe Scolari alitangaza
kikosi cha mwisho cha wachezaji 23 wataowawakilisha wabrazil kwenye
fainali za kombe la dunia zitakazofanyika nchi kwao – kikosi kilikuwa
kama ifuatavyo: Goalkeepers: Jefferson (Botafogo), Julio Cesar (Toronto FC), Victor (Atletico MG).
Defenders: Dante (Bayern Munich) David Luiz (Chelsea), Henrique (Napoli), Thiago Silva (PSG) Dani Alves (Barcelona), Maicon (Roma) Marcelo (Real Madrid), Maxwell (PSG).
Midfielders:
Fernandinho (Manchester City) Hernanes (Inter) Luiz Gustavo (Wolfsburg)
Oscar (Chelsea) Paulinho (Tottenham Hotspur), Ramires (Chelsea),
Willian (Chelsea).
Forwards: Bernard (Shakhtar Donetsk), Fred (Fluminense) Hulk (Zenit) Jo (Atletico MG), Neymar (Barcelona).
Leo
hii kocha Joachim Loew wa Ujerumani nae ametangaza kikosi cha awamu ya
kwanza cha wachezaji 30 ambao watachujwa na kubakia 23 watakaobeba
dhamana ya wajerumani Brazil mwaka huu: Goalkeepers : Manuel Neuer
(Bayern Munich), Roman Weidenfeller (Borussia Dortmund), Ron-Robert
Zieler (Hannover)
Defenders : Jerome Boateng (Bayern Munich), Erik Durm (Borussia Dortmund), Kevin Grosskreutz (Borussia Dortmund), Benedikt Howedes (Schalke), Mats Hummels (Borussia Dortmund), Marcell Jansen (Hamburg), Philipp Lahm (Bayern Munich), Per Mertesacker (Arsenal), Shkodran Mustafi (Sampdoria), Marcel Schmelzer (Borussia Dortmund)
Defenders : Jerome Boateng (Bayern Munich), Erik Durm (Borussia Dortmund), Kevin Grosskreutz (Borussia Dortmund), Benedikt Howedes (Schalke), Mats Hummels (Borussia Dortmund), Marcell Jansen (Hamburg), Philipp Lahm (Bayern Munich), Per Mertesacker (Arsenal), Shkodran Mustafi (Sampdoria), Marcel Schmelzer (Borussia Dortmund)
Midfielders
: Lars Bender (Bayer Leverkusen), Julian Draxler (Schalke), Matthias
Ginter (Freiburg), Leon Goretzka (Schalke), Mario Gotze (Bayern Munich),
Andre Hahn (Augsburg), Sami Khedira (Real Madrid), Toni Kroos (Bayern
Munich), Max Meyer (Schalke), Mesut Ozil (Arsenal), Bastian
Schweinsteiger (Bayern Munich)
Attackers
: Miroslav Klose (Lazio), Kevin Volland (Hoffenheim), Lukas Podolski
(Arsenal), Marco Reus (Borussia Dortmund), Andre Schurrle (Chelsea),
Thomas Muller (Bayern Munich)

0 maoni:
Chapisha Maoni