SIKU chache
baada ya kupata uraia wa Afrika Kusini, uchumba wa Video Queen, Agnes
Gerald ‘Masogange’ na mpenzi wake, Louis Dolnard umetibuliwa.
Hali hiyo ilijiri kutokana na madai kuwa
kuna wanaume wamepeleka maneno ya kimbeya kwa mpenzi wake huyo
yakiashiria kuwa mrembo huyo hajatulia.
Hata hivyo, Agnes amefunguka kuwa kamwe hawezi kuachana na mchumba wake huyo.


0 maoni:
Chapisha Maoni