Jumatatu, 30 Machi 2015

Hali ya Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima Josephat Gwajima yaendelea vizuri

Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima Josephat Gwajima aondolewa katika chumba cha uangalizi Maalum (ICU) TMJ baada ya kupata nafuu na hali yake kuendelea vizuri.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni