Jumatano, 15 Julai 2015

Diamond Platnumz atajwa kuwania tuzo za Burudani Marekani ‘African Entertainment Awards USA’.

Diamond 2
Mwimbaji wa muziki kutoka Tanzania Diamond Platnumz ametajwa kuwania tuzo za burudani za Afrika zinazoandaliwa na kufanyika Marekani.
Tuzo hizi ni za African Entertainment na kupitia mtandao http://www.africanentertainmentaward.com/

wametufahamisha kuwa Diamond anawania kipendele viwili ambavyo ni Hottest Male Single Of The Year na Best Male Artist Of The Year.
Kupiga kura Bonyeza Hii Link Hapa na Uwe na Email au Utumie Facebook/ Twitter. HAPA

Diamond

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni