Adhabu ya kutembeza watu uchi huko Nigeria imekuwa ndio adhabu ya
kawaida kwa watu kama hawa, baadhi ya watu wakifumaniwa huvuliwa nguo
zote na kutembezwa uchi mtaani kama fundisho kwa wengine. wazee hawa
wawli walinaswa wakivunja amri ya sita kichakani na kukamatwa kisha
kuvuliwa nguo zote na kutembezwa kijiji hapo mchana kweupeeee..!!
0 maoni:
Chapisha Maoni