Yule
mganga mashuhuri nchini Dk Kamdege toka Mkoani Tabora hatimae amealikwa
Mkoani Dodoma kuhushuhudia mchakato mzima wa Bunge la Katiba
linaloendelea Mkoaini humo
Kwa
mujibu wa mtandao wa Bossngasa ulisema Mganga huyo aliyejizolea sifa
kemkem nchini na nje ya nchi kutokana na kipaji chake cha kutibu watu
kutumia miti shamba huku akiponya kila aina ya magonjwa sugu ikiwemo
kupuinguza makali ya Ugonjwa hatari wa Ukimwi.
Akiongea
na mwandishi wa blog hiyo yenye makao yake makuu Mkoani humo Dk Kamdege
alisema" Nimealikwa Dodoma kushuhudia mchakato huo wa Katiba mpya
unaoendelea lakini huenda nikaenda wiki ijayo mwishoni mwa wiki kutokana
na ubusy niliokuwa nao huku kwangu wa kuhudumia wananchi.
Dokta
huyo ambae nyumbani kwake kumekuwa kukifurika watu kama sherehe ambao
hufika kwa ajili ya kupata tiba anazozitoa na mamilioni ya watanzania na
raia toka nje za nchi wamepona kutumia dawa zake huku mastaa mbalimbali
wa sanaa na muziki nchini wakimtumia mganga huyo kufanikisha mambo yao.
Mganga
huyo ambae kwa sasa amekuwa akipokea wagonjwa zaidi ya elfu mbili kwa
siku baada ya tiba zake kuponya wengi na anatibu magonjwa kama kupooza
mikono na miguu mgongo pamoja na mgonjwa mengi kama kisukari nk.
Aidha
Dokta huyo aliwasisitiza watanzania wote kutumia nafasi hiyo kumtafuta
kwa ajili ya kutatuliwa mambo yao na waliotayari wamcheki kupitia simu
namba 0788-844490 na hata kawa watu wako nje ya nchi ama mbali ambao
hawana uwezo wa kumfikia atawafanyia mambo yao huko huko hata kama
wakiwa nje ya nchi.
Mganga
huyo anasafisha nyota ya mtu ambayo ilikuwa imeibwa na wajanja, anatoa
mfanikio ya kimaifa kwa wale wanaochezewa na wachawi kwani wako ambao
wanajituma kazi usiku na mchana kufanyakazi lakini hawapati mafanikio
hivyo yeye anaweka sawa hayo mambo kutumia miti shamba tu na si uchawi.
Aidha
kwa wanaotaka kupanda vyeo, kuwa na maisha bora na yenye ulinzi wa
kutochezewa na wachawi hapo kwake ni kazi ndogo sana kukuza bishara zako
kama kila siku haikuwi.
Na amebakiza miezi miwili kabla ya kuelekea nchi za China na Japani.
source: Boss Ngassa
Home
»
»Unlabelled
» HATIMAYE YLUE MGANGA WA DAIMOND APATA MWALIKO
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)

0 maoni:
Chapisha Maoni