Mtoto
wa kiume anayekadiriwa kuwa na miezi 6 ambaye hajatambulika jina lake
wala makazi amekutwa amefariki dunia kichakani baada ya kutupwa na mtu
asiyefahamika katika kijiji cha Mhongolo wilayani Kahama
Afisa
Mtendaji wa Kijiji hicho Ally Manyama amesema kuwa baada ya kufika
eneo la tukio alikuta mwili wa mtoto huyo ukiwa umeviringishwa katika
kitenge na kutupwa kichakani katika eneo hilo.
0 maoni:
Chapisha Maoni