Hawa jamaaa walikutwa mchana kweupe
wamezima kwa kunywa Pombe nyingi na kuzidiwa..Muda huo wa mchana
walitakiwa wawe kazini wakijenga Taifa lakini wao mi mitungi kwenda
mbele ....Je unafikiri kuna haja ya Serekali kupiga marufuku unywaji wa
Pombe mchana kama walivyofanya wenzetu Kenya?
0 maoni:
Chapisha Maoni