
AJABU NA INASTAJABISHA:Mchangamle kizimkazi,walikusanyika na kumshanga
samakihuyu wa ajabu ambae wavuvi na wakazi wa maeneo hayo hawakuwahi
kumwona,maana samaki huyu aelewiki ni CHUI, DUMA au ni nini.Nikaona
nisistajabike mwenyewe nikuweke hapa wewe mpitiajiwa PAMBAZUA BONGO
upate kujua yanayoendelea Dunia. kwangu mimi ni ajabu sijawahi kuona
kiumbe kama hicho.

0 maoni:
Chapisha Maoni