Mtandao huu umetumiwa picha hii ya
mwalimu wa shule moja ya Sekondari iliyopo Mkoani Kagera vijijini ambae
amelalamikiwa na wazazi kufuatia wanafunzi wa shule hiyo kushindwa
kusoma vizuri kisa makalio yake makubwa ambayo kipindi akiwa anaandika
somo ubaona huku nyuma yakitikisika kwa staili ya kipekee.
Kwa mujibu wa mzazi huyo ambae alimvizia
dada huyo akiwa kwenye nyumba za walimu na kumpiga picha inayoonekana
hapo juu alisema" Unajuwa huyu mwalimu anafundisha kidato cha kwanza
huku ifahamike wanafunzi wengi wa umri huo ni wale wanaobarehe hivyo
inawauwiya vugumu kuvumilia shughuri aliyonayo mwalimu huyo nyuma"
Alisema mzazi huyo ambae aliomba hifadhi ya jina lake
Home
»
»Unlabelled
» MAKALIO HAYA YA MWALIMU HUYU WA SEKONDARY NI SHIDAA EBU SOMA HAPA!!!!!!!
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)


0 maoni:
Chapisha Maoni