Aliyekuwa Freemason kwa miaka 14 afunguliwa
katika mkutano wa Ufufuo na Uzima unaoendelea Moshi; alikatwa kidole
akiwa mdogo kama udhihirisho wa alama yao (devil horns)
alieleza mwenyewe mbele ya waliokuwepo mkutanoni
maelfu ya watu wa mkoa wa Kilimanjaro na vitongoji vyake wanaohudhuria
mkutano huo katika viwanja vya mashujaa unaoongozwa na mchungaji
Josephat Gwajima wa kanisa la Ufufuo na Uzima lenye makao makuu yake
Kawe jijini Dar es salaam.
Baadhi ya picha jinsi maelfu ya wakazi wa mji wa
Moshi mkoani Kilimanjaro wanavyohudhuria mkutano huo toka ulipoanza
tarehe 20 mwezi huu, unatarajiwa kumalizika siku ya jumapili tarehe 27
![]() |
| Njia ni moja tu nayo ni YESU, askofu Gwajima akifundisha mkutanoni. |
![]() |
| Flora Mbasha na mumewe wapo sambamba na wana Ufufuo na uzima mkoani Kilimanjaro. |









0 maoni:
Chapisha Maoni