Dada zetu mnaopenda kwenda na fashion mtaweza kuvaa hivi?
Kwa fashion hizi jama tutafika kweli??? maana sio mda wabongo mtaiga ujinga huu kwani wengi wenu mabinti wa chuo hamnaga dodo kwenye vitu vya kijinga, haya sie yetu macho tu lakin ujumbe tumesha utoa juu ya mavazi yasiyo kuwa na maadili.....
0 maoni:
Chapisha Maoni