Hali ya Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima Josephat Gwajima yaendelea vizuri Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima Josephat Gwajima aondolewa katika chumba cha uangalizi Maalum (ICU) TMJ baada ya kupata nafuu na hali yake kuendelea vizuri.
0 maoni:
Chapisha Maoni