Baada ya Picha za staa mrembo kutoka Bongo Movies, Wema
Sepetu akiwa na mshindi wa Big Brother Africa (BBA) 2014, Idris Sultan
wakiwa kwenye moja ya supermarket hapa jijini Dar kusambaa kwa kasi
kwenye mitandao ya kijamii zaidi ya moto wa vifuu huku kila mtu
akiandika lake kuhusiana na kile alichokiaona, Team Wema waneoneshwa
kukerwa na tabia za watu kumzushia Wema kwenye mahusiano.
Licha ya ukweli ni kwamba Wema na Idris wanaonekana kikazi zaidi,
yaani ulikuwa ni wito maarumu kutoka kwa wenye supermaket hiyo, watu
wengi wameolionekana kupakaza kuwa wawili hao ni Le Project mpya
na wengi wakimtupia maneno Wema kuwa hisaa amezidiii na wengine
wakimlaumu Idris kuwa ameingia chaka.
Kitendo hiki cha Wema kuzushiwa kuwa na mahusiano na watu ambao
anafanyanao kazi kimewakera sana Team Wema na kusababisha timbwili la
maneno mitandaoni.
“Imekua kama tabia ya watu ku comment ( yani ndo umeamua kua
na wema) ( wema ndo unatoka na huyu) kwa kila mtu anae fanya nae kazi..
Naomba kuwauliza inamana nyie hamuon kama hizo ni kazi?? Mme shindwa tu
kwa Millard Ayo na project ya the completePackage kusema anatoka na wema . Watu wameshindwa kutofautisha kati ya X na + ntaomba Diamond awasaidie kuwapa darasa ama ASEME NA NYIYI. Ama nene".
Mmoja kati ya team Wema aliandika mtandaoni.
Home
»
»Unlabelled
» Team Wema Wakerwa na Tabia ya Watu Kumzushia Wema
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
0 maoni:
Chapisha Maoni